921. LISO LYA NG´WIYO LIDUGUB´ONELA NKIMA.

Ulusumo lwenulo lulilola witoji. Ulu giki munhu alikob´a nkima ogutola igelilwe anole mpaga antogwe weyi ng´wenikili bho gutumila miso gakwe kunguno amiso yakwe gagatogwa gitumo aliganikila uweyi.

Olihoyi nyanda uyo ohayaga gutoola. Agang’wila nwani okwe aliyomba, “nwani one dujage uganambilije guchola nkima ogutoola.” Unwani okwe agashosha, “nahene dujage.” Bhubhuka bhajile mpaga bhugingila muchalo ijo bhali bhajile.

“Uyo nkima nsoga ntoolage.” Agayomba unwani okwe ukunhu alinsonela. Uweyi agalema aliyoomba, “Yaya Nadina ntogwa ung’wiyuyo.” Yubhiza giki bhuli nkima ng’wene uyo alintogwa unwani okwe, uweyi onemaga giki aduntogagwa. Nose ung’wani okwe ung’wila giki, “liso lwa ng’wiyo lidugub’onela nkima.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa ku bhitoji abho witola bho nduhu uguhadikijiwa. Abhanhu bhenabho, bhitola kunguno ya witogwi bhobho ubho kuleka kutongeja bhutogwi bho jikolo, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagikala na bhuyegi bhutale umuwitoji bhobho kunguno ya gulumanyiwa na witogwi bhobho bhunubho, umuwijaji bhobho.

Abhanhu bhenabho bhagikolaga nu nyanda uyo ocholaga guntola nkima uyo antogilwe weyi ng’winikili, kunguno na bhoyi bhalumanyima na witogwi bhobho umuwitoji bhobho bhunubho. Hunagwene bhagabhawilaga abhanhu giki, “liso lya ng’wiyo lidugubhonela nkima.”

Ulusumo lunulo lolanga bhitoji higulya ya guchagula bhichabho abho bhalibhatogwa bhoyi bho nduhu uguchalilwa na bhangi, kugiki bhadule gwikala na bhuyegi bho gulumanyiwa na witogwi bhobho bhunubho, umuwikaji bhobho.

Wakolosai 3:19. “Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.”

 

KISWAHILI: JICHO LA MWENZAKO HALITAKUONEA MKE.

Methali hii, inaangalia tukio la kuoa. Hivyo kama mtu (mwanaume) anatafuta mwanamke wa kuoa anatakiwa amwangalie mpaka ampende yeye mwenyewe kwa kutumia macho yake kwa sababu macho yake hupenda kwa kadiri anavyofikiri mwenyewe.

Alikuwepo mvulana aliyetaka kuoa. Mvulana huyo alimwambia rafiki yake, “rafiki yangu twende ukanisaidia kutafuta mwanamke wa kuona.” Rafiki yake alijibu, “sawa twende.” Walianza safari yao mpaka wakaingia kwenye kijiji kile walichokuwa wakikiendea.

“Huyo mwanamke mzuri muoe.” Alisema rafiki yake huku akimuonesha kwa kutumia kidole. Yeye alikataa akisema, “hapana sijampenda huyo mwanamke. Ikawa kwamba kila anayempenda rafiki yake, yeye alimkataa kwamba hampendi. Mwishowe yule rafiki yake alimwambia kwamba, “jicho la mwenzako halitakuonea mke.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa wana ndoa walioona bila kulazimishwa. Watu hao walioana kwa sababu ya upendo wao wa kuacha kutanguliza vitu, katika maisha yao. Watu hao, huishi kwa furaha kubwa kwenye ndoa yao, kwa sababu ya kuunganishwa na upendo wao huo, maishani mwao.

Watu hao, hufanana na yule mvulana aliyekuwa akitafuta mwanamke aliyempenda kwa macho yake yeye mwenyewe, kwa sababu nao waliunganishwa na upendo wao unaowapatia furaha katika ndoa yao. Ndiyo maana wao huwaambia watu kwamba, “jicho la mwenzako halitakuonea mke.”

Methali hiyo, hufundisha wana ndoa watarajiwa juu ya kuchagua wachumba wao wale wanaowapenda, bila kuwaruhusu wengine wawachagulie wenzi wao hao wa maisha, ili waweze kuishi kwa furaha ya kuunganishwa na upendo wao huo, maishani mwao.

Wakolosai 3:19. “Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.”

African eye

ENGLISH: YOUR FELLOW’S EYE WILL NOT SEE A WIFE FOR YOU.

This proverb, looks at a situation of a man who wants to marry. So if a man is looking for a woman to marry he should look at her until he loves such women by using his eyes because his eyes see as much as he thinks of himself.

There was a boy who wanted to get married. He told his friend, “My friend, let us take a walk so that you can help me in quest of a woman to for marriage.” His friend replied, “OK, let us go.” They began their journey until they entered the village where they were going to.

“Marry that beautiful woman.” His friend said to his friend while pointing at a such woman with his finger. He refused, saying, “No, I do not love her.” It turned out that everyone whom his friend loved her, he denied by saying, that he did not love her. Finally his friend told him, “your fellow’s eye will not see a wife for you.”

This proverb is likened to married people who chose each other without compulsion. These people got married because of their true love to each instead of giving priority to things, in their lives. These people, live happily in their marriage, because of being united by their love, in their lives.

These people are like the young man who was looking for the woman he loved with his own eyes, because they too were united by their true love that gives them happiness in their marriage. That is why they tell people that “your fellow’s eye will not see a wife for you.”

This proverb teaches married couples to be on how to choose their partners they love, without allowing others to choose their own life partners, so that they can live happily in their lives.

Colossians 3:19 “Husbands, love your wives and do not be harsh with them.”

girl-11

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.