881. KENAKO KAKUNGUB’ALA.

Akahayile kenako, kalolile kajisumva ako kagitanagwa ‘kagungub’ala.’ Akajisumva kenako kikolile na b’ushiishi ako kagikala kupelanya duhu bhuli makanza. Akoyi kadalendaga ha lwande lumo, umukikalile kago. Hunagwene abhanhu bhagiwilaga giki, “kenako kakungub’ala.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adalendaga aha kaya yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga uyunga sagala kunguno ya bhujidatogwa gutumama milimo bhokwe. Uweyi agikalaga ukoya na nzala ya gugayilwa jiliwa aha kaya yakwe, kunguno ya bhuyungi bhokwe bhunubho, bho nduhu gutumama milimo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na kakungub’ala  ako kagikalaga kupelanya bhuli makanza, kunguno nu weyi adalendaga aha kaya yakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu ulu bhanhona bhagiwilaga giki, “kenako kakungub’ala.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwikala kihamo na kaya jabho bho gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Waebrania 13:9.

1Petro 5:8-9.

 

KISWAHILI: HAKO NI KAKUNGUBALA.

Msemo huo, huangalia kakiumbe kanakoitwa ‘kakungub’ala.’ Kakiumbe hako ni jamii ya sisimizi ambako huwa kanakimbia tu wakati wote. Kenyewe huwa hakatulii sehemu moja, katika maisha ya kenyewe. Ndiyo maana watu huambiana kwamba, “hako ni kakungubala.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hutulii nyumbani kwake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anatembea hovyo kwa sababu ya kutopenda kwake kufanya kazi. Yeye hukumbwa na matatizo ya kukosa chakula kwenye familia yake, kwa sababu ya utembeaji wake huo, bila kufanya kazi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na kungubala aliyekuwa akikimbia kila wakati, bila kutulia sehemu moja, kwa sababu naye huwa hatulii kwenye familia yake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu wakimuona huambiana kwamba, “hako ni kakungubala.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuishi pamoja na familia zao, kwa kujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kuziendeleza vizuri hizo familia zao, maishani mwao.

Waebrania 13:9.

1Petro 5:8-9.

ants kungubala

fulanis-

 

friends-sudan

ENGLISH: THAT IS ‘KAKUNGUB’ALA (AN ANT).’

The overhead saying refers to a creature which is locally called ‘kakungub’ala.’ This creature is a type of squirrel that always runs away. It does not settle in one place, in its life. That is why people say to one another, “that is ‘kakungub’ala (an ant).’”

This saying is applied to a person who does not stay at his family, in life. This person, in turn, walks carelessly because of his reluctance to work. He suffers from famine in his family, because of his way of walking here and there without working, in his life.

This person resembles to the kakumgub’ala that ran all the time, without resting in one place, because he also does not stay at his family in life. That is why when people see him, say to one another, “that is ‘kakungub’ala (an ant).”

This saying, teaches people on how to live well with their families, by striving to fulfill their responsibilities, so that they can better develop their families, in their lives.

Hebrews 13: 9.

1 Peter 5: 8-9.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.