869. KALAGU – KIZE. DALIWA GWA GWA GWA – LUFU.

Ikalagu yiniyo, yilolile bhuliwa bho bhanhu na lufu. Ulufu lunulo, lugabhizaga lulihoyi pye amakanza. Olihoyi munhu umo uyo ogachilwa na ngunani okwe uikala opinihalaga noyi. Abhiye bhagang’wila giki, ‘ulufu lugadulwaga pye bhuli ng’wene ulu lyushiga ilikanzalwakwe.’ Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “daliwa gwa gwa gwa – lufu.”

Ikalagu yiniyo igalenganijiwa kuli munhu uyo agiganikaga giki, wiza guzenga aha welelo henaha, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agisanyaga sabho jakwe giki gigunhang’hana pye bho nduhu ugucha kunguno wiza guzenga aha Welelo henaha, umukiganikile kakwe. Uweyi agapinihalaga noyi ulu ozumalika nduguye, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikilolaga nuyo osunduhalaga bho shigu ningi ulu ochilwa na bhaduguye, kunguno nu weyi agapinihalaga noyi, ulu ochilwa na bhaduguye. Hunagwene abhanhu bhaganungujaga bho gung’wila giki, “daliwa gwa gwa gwa – lufu.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gwikala chiza na bhichabho aha welelo henaha, kunguno bhalibhab’iti duhu, bhadizile guzenga, kugiki bhadule gwiyambilija chiza haho bhadinazumalika umusi ng’wunumu.

Mwanzo 3:9.

Ufunuo 14:13.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI –  TEGA.

TWALIWA KILA SIKU –  KIFO.

Kitendawili hicho, huangalia uliwaji wa mtu na kifo. Kifo hicho, huwa kipo wakati wote. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alifiwa na ndugu yake mmoja aliyekuwa akimsaidia katika matatizo mbalimbali, akahudhunika sana. Wenzake wakang’wambia kwamba, ‘kifo humula kila mtu ukifika wakati wake. Hivyo hakuna sababu ya kuhudhunika sana.’ Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “twaliwa kila siku – kifo.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufikiria kwamba, alikuja kuishi muda wote hapa duniani, katika maisha yake. Mtu huyo, hutegemea mali zake kuwa ndizo zinazomlinda kwa sababu ya yeye kuamini kwamba ataishi muda wote hapa duniani. Yeye huhudhunika kupita kiasi anapofiwa na ndugu zake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeishi kwa huzuni sana, baada ya kufiwa na ndugu zake, kwa sababu naye huhuzunika kupita kiasi akifiwa na ndugu zake. Ndiyo maana watu humfariji kwa kumwambia kwamba, “twaliwa kila siku – kifo.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuishi vizuri na watu wao hapa duniani, kwa sababu ni wasafili tu, ili waweze kusaidiana vizuri kabla ya kukutwa na kifo maishani mwao.

Mwanzo 3:9.

Ufunuo 14:13.

 

mumuila-

women--1

 

africa--=

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

WE ARE EATEN EVERY DAY – DEATH.

This riddle looks at a person’s being eaten situation by death. Such death is always there. There was a man who had lost one of his relatives who was helping him in various troubles. He became very sad. His associates told him that, ‘death eats everyone when time reaches. So there is no reason to be excessively distressed. That is why people say to one another, “we are eaten every day – death.”

This riddle is compared to the person who thinks that he came to live all the time on earth. This person, on the other hand, relies on his own resources for protecting him because he believes that he will live forever on earth. He is deeply saddened by the death of his brethren, in the lifetime.

This person is like the one who lived with great sadness, after the death of his relative, because he also grieved deeply over the loss of his comrades. That is why people comfort him by saying, “we eaten every day – death.”

This riddle imparts in people an idea on how to live well with their people here on earth, because they are only travelers on earth, so that they can help each other well before their death, in their lives.

Genesis 3: 9.

Revelation 14:13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.