Akahayile kenako kamhoyelile munhu uyo wikalaga nifogong’ho. Umunhu ng’wunuyo olilanhanaga chiza ilifogong’ho linilo kunguno ojituulilaga mhiya jakwe moyi ijo jang’wambilija gumala makoye gakwe.
Abhanhu bhagandebha nose igiki agajililaga munuyo imhiya jakwe kunguno wikalaga nalyo nhangala ningi. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayomba giki, “ali nifogong’ho.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu o masala miza uyo adebhile ugujilanhanga chiza isabho jakwe umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga abhanhu bhakwe ugujitumamila chiza na gujituula hasoga isabho ijo bhagajipandikaga umutumami bhobho, kunguno ya masala gakwe agawiza genayo umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi ahakaya yakwe kunguno ya bhumani bho masala gakwe agagujilanhana chiza isabho jakwe jinijo, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo ojilanhanaga chiza imhiya jakwe bho gujituula mulifogong’ho lyakwe ilo wikalaga nalyo linilo, kunguno nuweyi alina masala miza agagujilanhana chiza isabho jakwe mpaga osabha, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhaganhayaga giki, “ali nifogong’ho.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na masala miza agagujilanhanila chiza isabho ijo bhajipandikaga umubhutumami bhobho, kugiki jidule gubhambilija ugubheja chiza umukaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.
Matendo 19:35.
Luka 13:7.
KISWAHILI: ANA MKOBA.
Msemo huo, humwongelea mtu aliye kuwa na mfuko. Mtu huyo aliutunza vizuri mfuko huo kwa sababu aliziweka humo pesa zake zilizomsaidia katika kutatua matatizo yake. Watu walielewa mwishowe kuwa alizitunzia humo pesa zake kwa sababu ya kuwa nao huo mfuko mara nyingi. Ndiyo maana walisema kwamba, “ana mkoba.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu mwenye akili za kuelewa kuzitunza vizuri mali zake katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha watu wake juu ya kuzitumia vizuri na kuzitunzia pazuri mali wanazozipata katika kazi zao kwa njia maisha yake mpaka wanamuelewa vizuri, kwa sababu ya akili zake hizo njema, maishani mwake. Yeye hupata mali nyingi sana katika familia yake hiyo kwa sababu ya uelewa wa akili zake hizo katika kuzitunza vizuri mali zake, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyezitunza pesa zake kwa kuziweka kwenye mfuko wake aliokuwa nao mara nyingi, kwa sababu naye ana akili njema za kuzitunza vizuri mali zake mpaka anatajirika, maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “ana mkoba.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na akili njema za kuwasaidia katika kuzitunza vizuri mali zao, ili ziweze kuwasaidia katika kuziendeleza vyema familia zao, maishani mwao.
Matendo 19:35.
Luka 13:7.
ENGLISH: HE HAS A BAG.
This saying refers to a person who owns a bag. He took good care of the bag because he kept his money in it, which helped him in solving many problems in his life. Over time, people noticed that whenever he needed help, he relied on what was in his bag. They understood that the bag represented his savings and careful planning. That is why they said, “he has a bag.”
This saying is equated to a person who has the intelligence to understand how to take good care of his assets in life. Such a person knows how to manage what he earns through his work. He also teaches his family and those around him how to use and manage their resources wisely. Because of his intelligence and discipline, his family gains wealth and stability in their lives.
This person is similar to the one who protected his money by keeping it safely in his bag. In the same way, he carefully manages his possessions and resources until he becomes prosperous in life. That is why people say of him, “he has a bag.”
This saying teaches people to have wisdom and good sense in managing their possessions, so that their resources can help them develop their families and live well in their lives.
Acts 19:35
Luke 13:7


