1352. ONYAKAGWA.

Akahayile kenako kahoyilelile bhuding’wa bho ng’wa munhu uyo witaga mihayo ya bhubhi. Olihoyi munhu uyo wikalaga muchalo jilebhe. Umunhu ng’wunuyo, ofumaga bhujibu ogasola jiliwa mumigunda ya bhanhu kunguno oling’wib’i. Lushigu lumo agabhonwa na bhinikili ngunda aho alisola ijiliwa jinijo mpaga bhundima. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “onyakagwa.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga mihayo ya bhubhi aliganika kigi adumanyika, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agiitaga imihayo iya bhubhi yiniyo bho gwibha sabho ja bhanhu na gushia na bhakima bha bhanhu, kunguno ya nhungwa jakwe ijabhubhi jinijo umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga ukoya na mihayo umuchalo jakwe kunguno ya guding’wa bhuli makanza ulu osangwa aliita imihayo iya bhubhi yiniyo, umukikalile kakwe.

Umunhu ung’wunuyo, agikolaga nuyo wibhaga jiliwa ja bhanhu mumigunda yabho mpaga uding’wa, kunguno nuweyi agitaga mihayo ya bhubhi mpaga oding’wa, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhayombaga giki, “onyakagwa.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gwita mihayo ya bhubhi, bho gwita yawiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 6:2.

Mithali 6:12-15.

Mhubiri 9:12.

Yohana 8:1-11.

Yeremia 2:26.

KISWAHILI: AMEKAMATWA.

Msemo huo, huongelea juu ya kushikwa kwa mtu anayetenda maovu. Alikuwepo mtu aliyeishi kwenye kijiji fulani. Mtu huyo, alikuwa akienda kuchukua chakula kwenye mashamba ya watu usiku kwa sababu alikuwa mwizi. Siku moja wenye mashamba hayo walimuona alipokuwa akiiba mazao yao wakamkamata. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “amekamatwa.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutenda maovu akifikiri kwamba hawezi kujulikana katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda maovu hayo kwa kuiba mali za watu na kuchukua wake za watu, kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya, maishani mwake. Yeye husumbuliwa na matatizo ya kujitetea kwenye kesi mbalimbali kwa sababu ya kukamatwa mara kwa mara akitenda maovu hayo kijijini mwake, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule mwizi aliyechukuwa chakula kwenye mashamba ya watu usiku mpaka akakamatwa, kwa sababu naye hutenda maovu mpaka anakamatwa, maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “amekamatwa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za kutenda maovu kwa kutenda mema, ili waweze kuzindeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Mithali 6:2.

Mithali 6:12-15.

Mhubiri 9:12.

Yohana 8:1-11.

Yeremia 2:26.

sweetcorn-3562047_1280

ENGLISH: HE HAS BEEN ARRESTED.

This saying talks about an arrest of a person who commits evil deeds. There was a man who lived in a certain village. He used to go to people’s fields for getting food at night because he was a thief. One day owners of those fields saw him stealing their crops and arrested him. That is why people said, “He has been arrested.”

This saying is paralleled to a person who commits evil deeds thinking that he will not be known in his life. This person commits these evil deeds by stealing people’s property and taking people’s wives, because of his wicked conduct in his life. He is troubled by glitches of defending himself in various cases because of being repeatedly arrested committing these evil deeds in his village in his life.

This person resembles the thief who took food from people’s fields at night until he was caught, because he also commits evil deeds until he is caught in his life. That is why people say, “He has been arrested.”

This saying instills in people a clue of abandoning evil conducts by doing decent deeds so that they can provide their families with decent success and peace in their lives.

Proverbs 6:2.

Proverbs 6:12-15.

Ecclesiastes 9:12.

John 8:1-11.

Jeremiah 2:26.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.