Umunhu uyo alina b’usungila agikalaga na miso gaza. Umunhu ng’wunuyo agafunyaga mabhota umumiso gakwe kunguno gagasadaga amiso genayo. Uweyi agagayiyagwa ulubhango mpaga nose abhiye bhagacholaga nzila ja gung’wambilija kugiki adule gupila wangu. Hunagwene bhagayombaga giki, “alina b’usungila.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhabhonelaga lisungu abhasadu bho gubhambilija umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agabhapinihalilaga abhasadu bhenabho bho guchola nzila ja gubhambilija kugiki bhadule gupila wangu, kunguno ya lisungu lyakwe linilo umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhambilijaga abhanhu bhenabho mpaga bhapila wangu bho gubhachala kubhugota, kunguno ya lisungu lyakwe linilo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunyo, agikolaga nabho bhagachola nzila ja gung’wambilija unsaidu o miso ng’wunuyo, kunguno nuweyi agabhambilijaga abhasadu bho gubhachala gubhugota mpaga bhapila wangu, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga ukuli kuli nsadu giki, “alina b’usungila.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kubhiza ni sungu lya gubhambilija abhasadu bhabho kugiki bhadule gupila wangu, umuwikaji bhobho bhunubho.
Zaburi 147:3.
Mathayo 4:24.
Mathayo 9:36.
Mathayo 12:22.
KISWAHILI: ANA UGONJWA WA MACHO.
Mtu mwenye ugonjwa wa macho huwa na macho mekundu. Mtu huyo, hutoa uchafu mweupe machoni kwenye macho yake kwa sababu ya kuuma kwa macho hayo. Yeye hukosa raha mpaka mwishowe wenzake humtafutia njia za kumsaidia ili aweze kupona haraka. Ndiyo maana wao husema kwamba, “ana ugonjwa wa macho.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwaonea huruma wagonjwa kwa kuwasaidia, katika maisha yake. Mtu huyo, huwahurumia wagonjwa hao kwa kutafuta njia za kuwasaidia ili waweze kupona haraka kwa sababu ya huruma yake hiyo, maishani mwake. Yeye huwasaidia wagonjwa hao mpaka wanapona haraka kwa kuwapeleka hospitalini, kwa sababu ya huruma yake hiyo, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na wale waliotafuta njia za kumsaidia yule mgonjwa wa macho, kwa sababu naye huwasaidia wagonjwa kwa kuwapeleka kwenye matibabu mpaka wanapona haraka, maishani mwake. Ndiyo maana humwelezea mjonjwa kwamba, “ana ugonjwa wa macho.”
Msemo huo, hufundisha watu juu kuwa na huruma ya kuwasaidia wagonjwa wao ili waweze kupona haraka, katika maisha yao.
Zaburi 147:3.
Mathayo 4:24.
Mathayo 9:36.
Mathayo 12:22.
ENGLISH: HE HAS AN EYE DISEASE.
There was person who had an eye disease in a certain village. His eyes became red. He produced white discharge from his eyes because of pain which he felt from them. He was uncomfortable until finally his colleagues found ways of supporting him so that he could recover quickly. That is why they said that, “he has an eye disease.”
This saying is equaled to a person who feels compassion for sick people enough to assist them in his life. This person feels sympathy for those who face various hitches by finding ways of supporting them so that they can recover quickly because of his kindness in his life. He supports the sick ones until they recover quickly by taking them to the hospital, because of his compassion in life.
This person is similar to those who found ways of supporting the eye patient, because he also aids sick persons by taking them to treatment until they recover quickly in his life. That is why he describes the patient that, “he has an eye disease.”
This saying imparts in individuals an idea of having compassion which enable them to support their patients so that they can recover quickly in their lives.
Psalm 147:3.
Matthew 4:24.
Matthew 9:36.
Matthew 12:22.
