Imbuki ya kahayile kenako ilolile nhinda ja nzuki. Inzuki jigandyaga gubheja nhinda na wiza ubhuki. Inzuki jinijo jigikalaga nhali noyi ulu jubheja inhinda jinijo kunguno jigamanaga jupugwa, jiliza duhu. Ijoyi jigabhizaga jidinabhuyangu ahikanza linilo ulu wigela ogujinja nhinja jajo jinijo. Hunagwene ulu oseose udula ugujinja inhinda jinijo, abhanhu bhagahaga giki, “agajinja ijanzuki.”
Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli munhu uyo alinambu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga na nhinda ja gulema nulu gutung’wa na abhiye kunguno ya nhungwa jakwe ijabhubhi jinijo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agidumaga na manhu bhingi umuwikaji bhokwe kunguno ya nhinda jakwe jinijo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki ijo jigitaga nhinda jakaliha mpaga jalema uguhang’wa, kunguno nuweyi alina nhinda ijo jigang’winhaga bhulambu bho gulema ugutung’wa na bhiye, umuwikaji bhokwe. Hunagwene ulu uhadikijiwa bho nguzu mpaga uzunya ugutung’wa, abhanhu bhagayombaga giki, “agajinja ijanzuki.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa jawiza bho gujinja inhinda ja gulema gutung’wa na bhichabho, kugiki bhadule gwikala bho bhuyeji umukaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.
Walawi 26:19.
Ayubu 41:34.
KISWAHILI: ALIKIONDOA KIBURI.
Chanzo cha msemo huo, huangalia masega ya nzuki yenye hatua ya kukaribia kutengeneza asali. Nyuki huanza kutengeneza masega ndipo inakuja asali. Nyuki hao huwa wakali sana wanapofikia hatua hiyo ya kuwa na masega yanayokaribia kuwa na asali kwa sababu ya kukataa kufukuzwa wanapochokozwa. Wao huwa hawana wa kuwaamua wakifikia hatua hiyo. Ndiyo maana akitokea wa kuyaondoa masega hayo yawapatiao kiburi, watu husema kwamba, “alikiondoa kiburi.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana kiburi katika maisha yake. Mtu huyo, ana kiburi cha kukataa kutung’wa na mtu yeyote kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya, maishani mwake. Yeye hukosana na watu wengi maishani mwake kwa sababu ya kuburi chake hicho, cha kudharau wengine, katika maisha yake.
Mtu huyo hufanana na wale nyuki wanaokaribia kuweka asali ambao huwa na kiburi cha kukataa kufukuzwa, kwa sababu naye ana kiburi kwa kukataa kutumwa na wenzake, maishani mwake. Ndiyo maana akilazimishwa kwa nguvu kukubali kutumwa, watu husema kwamba, “alikiondoa kiburi.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuondoa kiburi cha kukataa kutumwa na wenzao, ili waweze kuishi kwa furaha katika familia zao, maishani mwao.
Walawi 26:19.
Ayubu 41:34.

ENGLISH: HE DID AWAY WITH HIS IMMODESTY.
The origin of this saying stares at the combs of bees which are about to make honey. Bees start making combs and then honey comes. These bees become very aggressive when they reach at that stage. They reject being chased away by anyone when they are provoked. They become impossible when they reach at that stage. That is why when one comes to remove those combs that give them arrogance, people say that, “he did away with his immodesty.”
This saying is paralleled to a person who has conceit in his life. Such person has conceit of rebuffing to be pricked by anyone because of his wicked manners in his life. He gets into trouble with several people in his life because of his egotism, of looking down on others, in his life.
This person is comparable to those bees which were about to lay honey which had arrogance of declining to be chased away by anyone, because he also has conceit of repudiating to be sent away by his acquaintances in his life. That is why when he is forced to accept a mission, people say that, “he did away with his immodesty.”
This saying teaches people about having decent patterns of eradicating smugness of negating to be sent by their earls, so that they can live happily in their families.
Leviticus 26:19.
Job 41:34.