Akahayile kenako kaholelile bhanhu abho bhikalaga ng’wipolu lya miti mingi aliyo lulu, bhadazengile inumba. Abhanhu bhenabho bhagishigilwa uguzenga inumba na bhichabho abho bhajaga ung’wipolu linilo bhagagatema amanti bhachala gujuzengela unumba, umuchalo jabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayomba giki, “aha miti mingi nduhu abhazengi.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga nikoye aliyo ijagulimalila ilikoye linilo alinajo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adajitumamilaga chiza isabho ijo alijibhona, kunguno ya bhugokolo bhokwe ubho guduma gwiganika chiza. Uweyi agaminyiyagwa na makoye mingi aha kaya yakwe kunguno ya bhogokolo bhokwe bhunubho ubho guduma gubhutumamila chiza ubhusabhi ubho alibhubhona aho ali henaho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagaduma uguzenga numba aliyo bhikalaga ng’wipolu lya manti mingi, kunguno nuweyi agakoyiyagwa na makoye mingi aliyo ijikolo ija gugamalila amakoye genayo alinajo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “aha miti mingi nduhu abhazengi.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikomeja gujitumamila chiza isabho ijo bhalijibhona, kugiki jidule gubhambilija chiza ugugamala amakoye ayo bhalinago, umuwikaji bhobho.
Mwanzo 22:9
1 Mambo ya nyakati 28:2.
KISWAHILI: KWENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI.
Msemo huo huongelea juu ya watu walioishi kweye poli la miti mingi bila kujenga nyumba. Watu hao waliwahiwa kujenga nyumba na wenzao walioenda kuikata miti hiyo na kwenda kujenga nyumba zao kwenye vijiji vyao. Ndiyo maana watu hao walisema kwamba, “kwenye miti mingi hakuna wajenzi.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aishiye na matatizo mengi lakini vitu vya kuyamalizia matatizo hayo anavyo, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa havitumii vizuri vitu anayoviona katika kuyatatua matatizo yake, kwa sababu ya uvivu wake wa kufikiri vizuri. Yeye huumiizwa na matatizo mengi kwenye familia yake, kwa sababu ya uvivu wake huo wa kushindwa kufikiri namna ya kuitumia vizuri mali anayoiona, maishani mwake.
Mtu huyo hufanana na wale walioshindwa kujenga nyumba pamoja na wao kuishi kwenye miti mingi, kwa sababu naye husumbuliwa na matatizo mengi wakati vitu vya kuyatatulia matatizo hayo anavyo, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kwenye miti mingi hakuna wajenzi.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kujibidisha kuzitumia vizuri mali wanazoziona, ili ziweze kuyamaliza matizo walio nayo, maishini mwao.
Mwanzo 22:9
1 Mambo ya nyakati 28:2.
ENGLISH: IN MANY TREES THERE ARE NO BUILDERS.
The overhead saying parleys about people who lived in a thicket of many trees without building a house. These people were given an opportunity of building houses by their colleagues who went to cut down those trees enough to take them back home for building their houses in their villages. That is why those people said that, “in many trees there are no builders.”
This saying is paralleled to a person who lives with many difficulties but he has ways of ending them, in his life. Such person does not make good use of those ways which he sees in solving his hitches, because of his laziness in thinking properly. He is hurt by various hitches in his family, because of his indolence of not being able to reason on how to make good use of the treasure which he sees in his life.
This person resembles those who failed to build a house despite their living in many trees, because he is also troubled by several harms while he has possessions of solving them, in his life. That is why people tell him that, “in many trees there are no builders.”
This saying imparts in people an idea of making good use of assets which they see, so that they can solve hitches which they have in their lives.
Genesis 22:9
1 Chronicles 28:2.
