936. KALAGU – KIZE. NGENI OMAJIZWALO MINGI – LINDEGE.

Ilindege jili jiliwa ijo jigalimagwa japya. Ilindege linilo, ulu lyupya ligikalaga na madutu mingi noyi. Amadutu genayo gagikolanijiyagwa na jizwalo kunguno gagaligubijaga ilindege linilo guti lyakumbagwa myenda. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “ngeni amajizwalo mingi – lindege.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo mingi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayitumama milimo iyo ayimalile kunguno ya bhukamu bhokwe bho milimo bhunubho. Uweyi agaponaga majiliwa mingi noyi kunguno ya wikomeja bhokwe bhunubho ubho gulima jiliwa ja mbika mingi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni lindege ilo lilina madutu mingi, kunguno nu weyi agatumamaga milimo mingi, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ngeni amajizwalo mingi – lindege.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gwilanga gutumama milimo mingi, kugiki bhadule kupandika sabho ningi, umuwikaji bhobho.

2Wakorintho 6:1-4.

Marko 1:1-8.

Warumi 10:11.

KISWAHILI: KITENDAWILI –  TEGA.

MGENI MWENYE MAVAZI MENGI – MHINDI.

Mhindi ni chakula kile ambacho hulimwa na kuivishwa. Mhindi huo, ukikomaa huwa na maganda mengi sana. Maganda hayo, hufananishwa na nguo kwa sababu ya kuufunika mhindi kama umefunikwa na nguo. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “mgeni mwenye mavazi mengi – mhindi.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi nyingi katika maisha yake. Mtu huyo, huyatekeleza majukumu mengi anayofahamu kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi. Yeye hupata mazao mengi sana kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kulima vyakula vya aina mbalimbali, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na ule mhindi wenye maganda mengi, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu mengi, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “mgeni mwenye mavazi mengi – mhindi.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya umuhimu wa kujifunza kufanya kazi nyingi katika maisha yao, ili waweze kupata faida ya kuwa na mali nyingi, maishani mwao.

2Wakorintho 6:1-4.

Marko 1:1-8.

Warumi 10:11.

farm-market-corn-

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE- LET IT COME.

A GUEST OF MANY CLOTHES – MAIZE.

Maize is the food that is grown by farmers in various places. This maize has many pods when it is ripe. The pods are likened to clothes because they cover it as if it were covered with clothes. That is why people say to one another that, “a guest of many clothes – maize.”

This riddle is equaled to the person who does the most of his/her life. This person performs many tasks that he or she is aware of because of his or her hard working life. He/she earns a lot of money because of his/her hard work in growing a variety of foods in his/her life.

This person resembles the maize that has many pods, because he/she also fulfills many responsibilities, in his/her life. That is why people refer to him/her as “a guest of many clothes – maize.”

This riddle instills in people an idea of learning to work hard in their lives, so that they can get many possessions in their lives.

2 Corinthians 6: 1-4.

Mark 1: 1-8.

Romans 10:11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.