317. NEMA ADAGIGHILAGA

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile munhu uyo alinema. Umunhu ng´wunuyo agabhizaga alichene na adadulile ugwib´isa umo agikalilaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ´nema adagighilaga.´

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina jika, ja gwita mihayo ya bhub´i. Umunhu ng´wunuyo agamanyikaga umo agiganikilaga, bho gub´itila ya bhub´i abhiye, umuwikaji bhokwe. Abho bhandebhile akikalile kakwe kenako, bhagang´wilaga giki, ´nema adagighilaga.´

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu highulya ya goya gwita ya bhub´i ukubhichabho, kugiki abhanhu bhenabho, bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

1 Wakorintho 15:33.

KISWAHILI: MWENYE KISA HACHECHEMEI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mtu mwenye kisa fulani. Mtu huyo huwa hivyo kwa maana ya kujulikana alivyo. Hawezi kujificha mtu  huyo. Kilema chake hakiwezi kufichika kwa watu. Ndiyo maana watu husema, ´mwenye kisa hachechemei.´

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye ana kilema ya kutenda maovu katika jamii. Mtu huyo hujulikana afikiriavyo kwa kuwafanyia mabaya wenzake, katika maisha yake. Wale wanaomfahamu jinsi alivyo, humwambia kwamba, ´mwenye kisa hachechemei.´

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha kutenda maovu katika jamii, ili watu hao waweze kuishi kwa amani na wenzao maishani mwao.

1 Wakorintho 15:33.

vintage1

ENGLISH: YOU CANNOT HIDE YOUR BAD CHARACTER

The saying stems from a story of a person with bad character. A person with such behaviour cannot hide his/her character because it is part of him/her. That is why people say, “you cannot hide your bad character.”

The proverb is comparable to a person with a habit of doing bad things in the society. Such person’s bad behaviour is known by others. Those who know him/her, tell him/her that, “you cannot hide your bad character.”

The proverb teaches people to stop doing evil things in their society so that they can live in peace with others.

1 Corinthians 15:33.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.