919. NDIMU YAB’ATOLOKA B’ALASI.

Ulusumo lunulo, luhoyelile higulya ya b’alazi bha ndimu mumapoli. Abhanhu bhanebho bhagayinyamanija ndimu imo iyo bhahayaga guilasa. Indimu yiniyo, igab’anyesha bho gubhatoloka mpaga bhuyigayiwa. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “ndimu yab’atoloka b’alasi.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli ng’wanike uyo agahadikijiwa kutolwa na bhabyaji bhakwe kuli ngosha uyo adantogilwe, utoloka aha kaya yabho. Ung’waniki ng’wunuyo, agisongwa na bhatoji bhenabho ubhalema kunguno olidabhatogilwe. Aho obhalema chiniko, abha bhabyaji b’akwe bhaganhadikija giki atolwe bho nguzu. Uweyi agabhanyesha bho gubhatoloka a hakaya yiniyo.

Ung’wanike ng’wunuyo, agikolaga ni ndimu iyo yigabhanyesha bho gubhatoloka ab’alasi bhayo, kunguno nuweyi agab’atoloka bho gubhanyesha abhabyaji bhakwe abho bhanhadikijaga gutolwa na ngosha uyo adantogilwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ndimu yab’atoloka b’alasi.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhabyaji higulya ya kuleka nhungwa ja kubhahadikija gutolwa  bho nguzu abhana bhabho, kunguno uwitoji bhudi bho guhadikwa, kugiki bhadule gwikala bho mholele umukaya jabho.

Yohana 10:39.

Luka 4:30.

 

MNYAMA AMEWACHENGA WAWINDAJI.

Methali hiyo, huongelea juu ya wawindaji wa wanyama poli wanaotumia mishale. Wawindaji hao, walimzingila mnyama mmoja waliyetaka kumpiga kwa mishale yao. Mnyama huyo, aliwachenga wawindaji hao kwa kuwatoroka mpaka wakamkosa. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “mnyama amewachenga wawindaji.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa msichana aliyelazimishwa kuolewa na wazazi wake kwa mwanaume asiyempenda, akatoloka kwenye familia hiyo. Msichana huyo, aliposwa na mwanaume ambaye hukumpenda akamkataa. Alipomtakaa hivyo, wazazi wake walimlazimisha kuolewa kwa nguvu. Ndipo yeye alipowachenga kwa kuwatoroka kwenye familia hiyo.

Msichana huyo, hufanana na yule  mnyama aliyewachenga kwa kuwatoroka wawindaji waliotaka kumpiga kwa mshale, kwa sababu naye aliwachenga wazazi wake waliomlazimisha kuolewa kwa nguvu kwa mwanamume ambaye hukumpenda. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mnyama amechenga wawindaji.”

Methail hiyo, hufundisha wazazi juu ya kuacha tabia ya kuwalazimisha watoto wao kuolewa kwa nguvu, kwa sababu maisha ndoa  siyo ya kulazimishwa, ili waweze kuishi kwa amani kwenye familia zao.

Yohana 10:39. “Ndipo wakajaribu kumkamata kwa mara nyingine, lakini akaponyoka kutoka mikononi mwao.”

Luka 4:30. “Lakini Yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda Zake.”

woman-1-

ENGLISH: THE PREY HAS SNIFFED THE HUNTERS.

This proverb speaks of hunters who use arrows in forests. These hunters surrounded an animal which they wanted to kill by using their arrows. Such prey escaped by running away from them to an extent of disappearing in their eyes. That is why the people said that, “the prey has sniffed the hunters.”

This proverb is compared to a girl who was forced by her parents to marry a man whom she did not like. She left the family after rejecting him. When she did so, her parents forced her to marry him. Then she spared them by fleeing from that family.

This girl is like the prey that escaped from being killed by hunters who throw an arrow at her, because she also ran away from her parents who forced her to marry a man whom she did not love. That is why people say to each other that, “the prey has sniffed the hunters.”

This proverb teaches parents about giving up a habit of forcing their children to marry against their will, because life in marriage is not forced, so that they can live peacefully in their families.

John 10:39 “Then they tried to seize him again, but he escaped from their hands.”

Luke 4:30 “But He passed by the midst of the multitude and went to Him.”

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.