903. KALAGU – KIZE. KASOLOGEJE KAHO KADINA SOLOB’O – NZWILI.

Ikalagu yiniyo, ilolile kasologeje ka wingi bho nzwili. Ubhusoloja ubho wingi bho nzwili bhunubho, bhugabhizaga bhudamu noyi kunguno ya wingi bhojo bhunubho. Kuyiniyo lulu, umunhu uyo agajibhalaga inzwili jinijo, agajimijaga ikanza lwakwe sagala. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “kasologeje kaho kadina na solob’o – nzwili.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo iyo idina solob’o, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajimijaga makanza gakwe sagala, kunguno ya gutumama milimo iyo idang’wambilijaga. Uweyi agikalaga ukoya na makoye ga gugayiwa jiliwa aha kaya yakwe, kunguno ya gugayiwa solobho yoseyose umumilimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu mhaji o nzwili, kunguno nang’hwe  agatumamaga milimo iyo idina solob’o umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “kasologeje kaho kadina na solob’o – nzwili.”

Ikalaga iyiniyo, yalanga bhanhu higulya ya guitila bhukengeji imilimo yabho, haho bhatali ugwandya uguitumama, kugiki bhadule gupandika solob’o nhale umumilimo iyo bhagaitumamaga yiniyo, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 15:4-6.

Mathayo 10:30-31.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

HESABU YAKE YAINA FAIDA – NYWELE.

Kitendawili hicho, chaangalia uhesabuji wa wingi wa nywele. Uhesabuji huo huwa ni mgumu kwa sababu ya wingi wake huo. Kwa hiyo basi, mtu ahezisabuye hizo nywele, hupoteza muda wake bure. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “hesabu yake haina faida – nywele.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule afanyaye kazi ile ambayo haina faida, katika maisha yake. Mtu huyo, hupoteza muda wake bure kwa sababu ya kufanya kazi zisizoweza kumsaidia kwenye maisha yake. Yeye husumbuliwa na matatizo ya kukosa chakula kwenye familia yake, kwa sababu ya kukosa faida yoyote ya kutoka kwenye kazi zake hizo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mhesabuji wa nywele, kwa sababu naye hufanya kazi isiyo na faida, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hesabu yake haina faida – nywele.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuzifanya tafiti za kina kwenye kazi zao, kabla ya kuzianza kuzitekeleza, ili waweze kupata faida kubwa kutoka kwenye kazi zao hizo wazitekelezazo, maishani mwao.

Mwanzo 15:4-6.

Mathayo 10:30-31.

ethiopia1-

african-woman-

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

ITS COUNTING HAS NO BENEFITS – HAIR.

This riddle looks at the counting of hair. This counting is difficult because of its big number. Therefore, a person who does such work wastes his time in vain. That is why people tell each other that, “its counting has no benefits – hair.”

This riddle is compared to the person who does useless work, in his life. This person, in turn, wastes his free time by doing work that will not help him in his life. He suffers from famine problem in his family, because of missing any benefit from his work.

This man resembles the one who wasted time by counting hairs because he also does a useless job, in his life. That is why people tell him that, “its counting has no benefits – hair.”

This riddle instills in people a clue on how to do deep research on their work, before they start implementing it, so that they can get the most out of what they do in their lives.

Genesis 15: 4-6.

Matthew 10: 30-31.

 

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.