Imbuki ya lusumo lunulo, ilolile mimbi. Imimbi bhuli bhusiga ubho wegelaga guhola ubho bhugikolaga na bhuchilu bho ng’wa munhu nheb’e. Ub’usiga bhunubho bhugahayiyaga giki bhutungilile ginhu umugati yabho ijo jigafumaga hanze ulu bhuhola. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “b’ubhilu bhuli mimbi.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali ng’wilika lya b’uyanda nulu lya waniki uyo ojililaga gubhiza munhu ntale, umukikalile kakwe. Igayombagwa bhuchilu bhuli mimbi kunguno ulu bhuhola ub’uchilu bho ng’wa munhu ng’wunuyo, bhongeja gwinha makoye matale, ukubhiye. Uweyi agadumaga ugwikala chiza na abhanhu kunguno ya nhungwa jakwe gubhiza jab’ub’i, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’winuyo, agikolaga ni mimbi ja bhusiga ijojigaholaga wigela bhusiga, kunguno nuweyi agikalaga atungilile bhuchilu umumiganiko gakwe, ubho bhugahola gafuma moyi makoye matale, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “b’uchilu b’uli mimbi.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhabyaji higulya ya gubhalela chiza abhana bhabho haho bhatali bhadoo, kugiki bhadule gukula bhali na nhungwa jawiza ija gubhambilija ugwikala chiza na bhichabho, umubhulamu bhobho.
Mithali 1:8-19.
Mithali 2:1-16.
Mithali 2: 21-35.
KISWAHILI: UKOROFI UNAELEKEA KUTOA MASUKE.
Chanzo cha methali hiyo, huangalia ukaribu wa mmea kutoa masuke. Ukaribu huo wa kutoa masuke hayo ni hatua ya mtama ulifunga kitu juu ambacho huwa kinaonekana baada ya mtama huo kuchanua masuke. Hatua hiyo hufananishwa na ukorofi wa mtu fulani unaolekea kutenda jambo fulani. Ndiyo maana watu huuita, “ukorofi unaelekea kutoa masuke.”
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye yuko kwenye lika la ujana anayeelekea kufikia umri wa utu uzima, katika maisha yake. Hatua hiyo huitwa ukorofi unaelekea kutoa masuke kwa sababu ya ubaya unaongezeka ndani ya mtu huyo ambao huleta matatizo makubwa akifikia utu uzima. Mtu huyo, hushindwa kuishi vizuri na wenzake kwa sababu ya tabia yake hiyo kuzidi kuwa mbaya zaidi, maishani mwake.
Mtu huyo, hufananishwa na mtama ulikaribia kutoa masuke, kwa sababu naye huyo kijana huwa anafikiria maovu ndani ya mawazo yake, ambayo huleta matatizo makubwa anapoufikia umri wa utu uzima, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita, “ukorofi unaelekea kutoa masuke.”
Methali hiyo, hufundisha wazazi juu ya kuwalea vyema watoto wao, ili waweze kukua wakiwa na tabia njema ya kuwasaidia kuishi vizuri na wenzao, maishani mwao.
Mithali 1:8-19.
Mithali 2:1-16.
Mithali 2: 21-35.
ENGLISH: CRUELTY TENDS TO GIVE BIRTH.
The foundation of this proverb looks at the proximity of the plant to the stalks. This nearness to the sorghum flower is the action of the sorghum which is closed on something that is usually visible after the sorghum flower has germinated the sorghum. This action is likened to the cruelty of a person who is inclined to do something. That is why people call it, “cruelty tends to give birth.”
This proverb is equated to a man who is in his late teens or early 20’s. This person has the so-called cruelty that tends to give birth because of increasing evil thoughts within him that cause serious problems in adulthood. He in turn, is unable to get along with his fellows because of his behavior, which only makes matters worse.
This man is like a sorghum flower that is about to give birth, because this young man also thinks evil in his mind, which causes great problems when he reaches adulthood, in his life. That is why people call it that “cruelty tends to give birth.”
This proverb teaches parents on how to raise well their children, so that they can grow up with good habits enough to help them in living well with their people, in their lives.
Proverbs 1: 8-19.
Proverbs 2: 1-16.
Proverbs 2: 21-35.