876. JIDAPANDA MANHO.

Olihoyi ngosha o ha kaya imo uyo olialemile uguzuga ijiliwa. Ungosha ng’wunuyo, ozugilagwa ijiliwa jinijo na nkima okwe bhuli lushigu, umukikalile kakwe. Uweyi olidapandaga imanho iyo igajidimilaga ijizugilo ja jiliwa. Hunagwene abhanhu bhagang’witana giki, “jidapanda manho.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo iyo aimanile bho gulola kabhumbilwe kakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga gutumama milimo yakwe iyo aidulile bho guyandya diyu mpaga nulu mhindi. Uweyi adishadyaga mumilimo iyo adaidebhile chiza, kunguno ahayile bhayitumame abho bhaimanile, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ngosha uyo oliadazugaga ilijiwa, uyo ozugilagwa na nke okwe oli adebhile, kunguno nuweyi agabhalekalaga abhiye bhaitumame imilimo iyo adaimanile chiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagag’witanaga giki, “jidapanda manho.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwilanga milimo na gwigulambija guitumama chiza imilimo iyo bhaimanile, bho gubhalekela bhangi iyo bhadaimanile, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 3:16-19.

Yoshua Bin Sira 36:22 – 27.

1Timotheo 2:9 – 15.

KISWAHILI: ASIYEKANYAGA KISHIKILIA CHOMBO CHA KUPIKIA.

Alikuwepo mwanaume wa kwenye familia moja aliyekuwa amekataa kupika chakula. Mwanaume huyo, alikuwa akipikiwa chakula hicho na mke wake kila siku, katika maisha yake. Yeye hukufahamu kukanyaga kishikilia chombo cha kupikia. Ndiyo maana watu walimuita kwamba, “asiyekanyaga kishikilia chombo cha kupikia.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huyatekeleza kwa bidii majukumu anayoyaelewa vizuri kwa kufuata maumbile yake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kuzifanya kazi ambazo anazifahamu, kwa kuanzia asubuhi hadi hata jioni. Yeye huwa ajiingizi kwenye kazi zile ambazo haizifahamu vizuri, kwa sababu hupenda kuwaachia wazitekeleze wale wanaozielewa, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Mtu huyo, hufanana na mwanaume yule aliyemwachia kazi ya kupika yule anayeilewa ambaye ni mke wake, kwa sababu naye huwaachia wengine wayatekeleze majukumu yale asiyoyafahamu vizuri, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba, “asiyekanyaga kishikilia chombo cha kupikia.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujifunza kazi, na kujibidisha kuzitekeleza zile wanazozifahamu, kwa kuwaachia wengine wanaozifahamu zile wasizozifahamu, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Mwanzo 3: 16-19.

Yoshua Bin Sira 36: 22 – 27.

1Timotheo 2: 9 – 15.

woman-----2

fishing-boat-

woman-----1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.