232. NHOLE NA GUKULIKILE

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kulinkima na ngosha abho bhalihaya gwitola. Uumo obho agung’wilaga ung’wiye giki, ‘nhole nagukulikile.’ Umuguyomba chiniko alolecha giki, ulubhitola bhagwikala kihamo mpaga pye ishigu ja witoji bhobho. Agayombaga chene unkima uyo aling’wila ungosha uyo alihaya guntola giki, wikale nag’hwe mpaka gushiga kub’ugikulu bhokwe. VIDEOYustina from Ndoleleji Research group presents a song about a joyful marriage

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhitoji abho bhagikalaga kihamo umushigu jabho jose. Abhanhu bhenabho bhamanile ugwiyumilija kihamo na bhichabho umuwitoji bhobho, umumakanza gose, agamakoye nagabhuyegi pye shigu ja bhulamu bho witoji bhobho.

Akahayile kenako kalanga bhitoji higulya ya gubhiza na wiyumilija ubho gudula gubhambilija ugwikala kihamo umushigu jabho jose. Uwiyumilija bhunubho bhugulanga bhana bhabho higulya ya gwikala na nhungwa ja wiza ija gudula gwikala bho mholele na bhanhu, umubhulamu b’ob’o.

Waefeso 5:21-24.

Marko 10:1-9.

 

KISWAHILI: NIOE NIKUZEEKEE

Chanzo cha msemo huo chatokea kwa mwanamke na mwanaume ambao watalajia kuoana. Mmoja wao humwambia mwenzake kwamba, ‘nioe nikuzeekee.’ Kwa kusema hivyo, huonesha kwamba, wakioana wataishi pamoja mpaka uzeeni mwao. Husema hivyo mwanamke akimwambia mwanaume yule atakaye kuoana naye, kwamba waishi naye mpaka kufikia umri wa uzee wao.

Msemo huo hulinganishwa kwa wana ndoa wale waishio pamoja siku zote za maisha yao. Watu hao, wafahamu namna ya kuvumiliana pamoja na wenzao katika raha na shida, siku zote za maisha ya ndoa yao.

Msemo huo hufundisha watu wa ndoa juu ya kuwa na uvumilivu wa kuweza kuwasaidia katika kuishi kwa pamoja siku zote za ndoa yao. Uvumilivu huo huwafundisha pia watoto wao juu ya kujijengea tabia njema ya kuishi kwa amani na wenzao maishani mwao.

Waefeso 5:21-24.

Marko 10:1-9.

lovely black marriage

ENGLISH: MARRY ME I GROW OLD FOR YOU

The overhead saying is based on marriage intent of a man and a woman. One tells the other, ‘Marry me I grow old for you.’ By saying this, they express the intention or wish that the two will stay together until their old age. Usually, this is what the woman tells the man who is going to marry her, as a solemn wish to live and grow old with her.

The saying is comparable to married couples who live together all the days of their lives. Such people know how to accommodate their partners in times of comfort and in distress throughout their married life.

The saying teaches about the virtue of patience for a steadfast marriage life for couples. Such patience is also useful in building good habits in children for a harmonious relationship with their peers.

Ephesians 5: 21-24.

Mark 10: 1-9.

2 comments

  1. The Coordinator of the Sukuma Legacy Project (https://sukumalegacy.org), Father Zakaria Kashinje, OSA, is meeting this month of July, 2019 with members of the Kamati ya Utafiti (eight members — two women and six men) at Ndoleleji Parish, Shinyanga, Tanzania. The committee produced this Story No. 232. They have produced two singing videos in Sukuma on WhatsApp. They are continuing the research and writing on Sukuma Oral Literature by Father Don Sybertz, MM who is living in retirement at Maryknoll, New York, USA.

    Like

  2. During the first day our annual Sukuma Legacy Project Meeting to take place at the Sukuma Cultural Centre at Bujora, Mwanza, Tanzania on Wednesday, 12 February, 2020, each participant will present an African proverb or saying in his or her self-introduction. i will use the Sukuma story:

    “Jigano ja Bhana Bhabhili” — from which comes the proverb “kusema mbago”

    “Hadithi ya Wana Wawili”

    “The Parable of the Two Brothers”

    This is Story No. 2 on the

    Sukuma Legacy Project Website

    About

    Like

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.